Akizungumza katika kongamano la ukusanyaji maoni kuelekea dira mpya ya maendeleo ya taifa 2050 lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri, Ndugu Tito Mganwa mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino amesema lengo la kongamano hilo ni kuchukua maoni ya wananchi juu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika nyanja tofauti na maoni hayo yataenda kuchakatwa na kuandaa dira mpya ambayo itahakikisha inafikia malengo, nia na shauku ya wananchi katika miaka 25 inayokuja.
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.