• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mayanja Azindua Jukwaa La Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Chamwino, Faida Zake Zatajwa

Imewekwa: January 19th, 2026

Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Mhe. Janeth Mayanja jana Januari 19, 2026 amezindua ‘Jukwaa la Uwezeshaji wanawake kiuchumi la Wilaya ya Chamwino’ na kusema kuwa miongoni mwa malengo ya Jukwaa hilo ni kujenga umoja na ushirikiano miongoni mwa wanawake wa Wilaya ya Chamwino ili kuinuana kiuchumi na hatimaye kuwanufaisha wao na familia zao, jamii, na taifa kwa ujumla.

Ameongeza kuwa Jukwaa hilo ni daraja kwa wanawake kufikia fursa mbalimbali zinazopatikana katika jamii, na amewahimiza wawe jasiri, wabunifu na wenye nidhamu, ili waweze kutumia kikamilifu fursa zinazopatikana katika familia, jamii, mashirika, na taasisi mbalimbali.

Vilevile, amewaahidi kuunga mkono juhudi za jukwaa hilo katika kufikia maendeleo jumuishi na endelevu.

kadhalika, Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya, Zaina Msangi ameeleza kuwa faida nyingine zitakzopatikana kupitia jukwaa hilo ni kuwezesha wanawake wa Wilaya ya Chamwino kuwa na sauti moja katika kupanga na kutekeleza miradi ya maendeleo, kukuza uongozi wa wanawake, kuhamasisha wanawake kushiriki katika nafasi za uongozi, na kujenga usawa wa kijinsia.

Zoezi la uzinduzi wa Jukwaa hilo limefanyika katika Ukumbi Mkuu wa Halmashauri, na limetanguliwa na uchaguzi wa viongozi wake, ambapo Katibu Tawala wa Wilaya ya Chamwino, Ndg. Neema Nyelege amesimamia uchaguzi wa viongozi wanne akiwemo Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, Katibu na Katibu Msaidizi, pamoja na uteuzi wa wajumbe wawili.

Aidha, wanawake hao pia wamepewa elimu kuhusu Mikopo ya 10%, elimu ya bima ya afya kwa wote, pamoja na uundaji na usajili wa vikundi vya huduma ndogo za fedha.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Milioni Mia Moja Themanini Na Nane Na Laki Tano Kunufaisha Vikundi 22 Vya Wajasiliamali

    February 11, 2026
  • Mayanja Azindua Jukwaa La Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Chamwino, Faida Zake Zatajwa

    January 19, 2026
  • Chamwino Yaadhimisha Wiki Ya Magonjwa Yasiyoambukiza Kwa Kutoa Elimu Na Kuwapima Afya Watumishi

    November 13, 2025
  • Chamwino Yaadhimisha Wiki Ya Magonjwa Yasiyoambukiza Kwa Kutoa Elimu Na Kuwapima Afya Watumishi

    November 13, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • AXL777
  • AXL777
  • situs toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • yamitoto
  • slot gacor
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • koi200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • toto slot
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88