• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MADIWANI WOTE NCHINI KUPIGWA MSASA NA WATAALAM WA HOMBOLO

Imewekwa: November 27th, 2020

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Eng. Joseph Nyamhanga amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kufanikisha upatikanaji wa fedha ili mafunzo elekezi yaweze kutolewa kwa Madiwani wote katika Halmashauri zote Nchini.

Eng. Nyamhanga ameyasema hayo hivi karibuni wakati akihutubia Mahafali ya 12 ya Chuo cha Serikali za Mitaa- Hombolo Tarehe 26 Novemba,2020 Jijini Dodoma.

“Amesema ili kuwe na ufanisi wa usimamizi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa nafasi ya chuo cha Serikali za Mitaa katika kutoa mafunzo ni kubwa ingawa kuna mafunzo ambayo yameandaliwa kutolewa kwa kutumia mfumo wa ujifunzani wa Kielektroniki (MUKI)  lakini yanahitaji upatikanaji wa mtandao kwa maeneo mengi.

Hivyo Eng. Nyamhanga akatia wito kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa kufanikisha upatikanaji wa fedha ili mafunzo elekezi yaweze kutolewa kwa madiwani wote.

Pia amezitaka Halmashauri kuangalia namna ya kuwapa kipaumbele wanafunzi wanaohitimu fani mbalimbali kupitia chuo hiki katika nafasi za Ajira kwa sababu wahitimu hao ni wabobezi kwenye taaluma za Serikali za Mitaa hivyo wataleta ufanisi.

Aidha amewapongeza Uongozi wa Chuo kwa kupata mafanikio ikiwemo upanuzi wa chuo, kuongeza udahili, ufaulu wa wanafunzi, kuongezeka kwa watumishi na mpango wa kuongeza wigo na ubora wa mafunzo

“ Napenda kuwapongeza kwa kufanikisha adhma na tamanio la muda mrefu la kuanzisha Shahada ya kwanza ya Utawala na Menejiment katika Serikali za Mitaa.

Mafunzo ya Shahada ya kwanza  yatakidhi mahitaji ya sasa ya kuboresha utoaji wa huduma na kutatua changamoto mbalimbali zinazokabili Mamlaka za Serikali za Mitaa ” Alisema Nyamhanga.

Pia Katibu Mkuu Eng. Nyamhanga alitolea ufafanuzi changamoto za Kimfumo, kisera na za kibajeti  zinazokikabili chuo kuwa zimeshughulikiwa na zinaendelea kushughulikiwa kwa Ngazi ya Wizara.

Akiwasalisha hotuba ya Mkuu wa Chuo Dkt. Mpamila Madale amesema kwa mwaka wa fedha 2019/2020 chuo kilidahili wanafunzi 7,666 ikiwa ni ongezeko kubwa ukilinganisha na mwaka 2007/08 chuo kilipoanza kutoa mafunzo ya muda mrefu kikiwa na wanafunzi 86 tu.

Akitaja mafanikio ya chuo kwa upande wa uboreshaji wa miundombinu Dkt. Madale amesema kwa miaka mitatu mfululizo chuo kimejenga kumbi mbili zenye uwezo wa kutumiwa na wanafunzi 504 kila moja kwa wakati mmoja na kumbi zingine mbili zenye kutumiwa na wanafunzi 250  na nyumba mbili za Watumishi kupitia mfumo wa Force Account.

Wahitimu katika mahafali ya 12 katika Chuo cha Serikali za Mitaa- Hombolo ni 5,752 na wamehitimu katika ngazi ya Astashahada ya Awali, Astashahada na Stashahada katika fani za Utawala katika Serikali za Mitaa, Uhasibu na Fedha katika Serikali za Mitaa, Menejimenti na Rasilimali watu, Maendeleo ya Jamii, Menejiment ya Utunzaji wa Nyaraka na Kumbukumbu na Menejimenti ya Manunuzi na Ugavi.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Mchengerwa Awataka Maafisa Habari Kuhakikisha Wananchi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • Miche 350 Ya Matunda Yapandwa Kuadhimisha Kampeni Ya "Mti Wangu Birthday Yangu"

    May 22, 2025
  • Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Ashiriki Zoezi La Kuboresha Taarifa Kwenye Daftari La Kudumu La Wapiga Kura

    May 17, 2025
  • Mafunzo Ya Uboreshaji Wa Daftari La Wapiga Kura Awamu Ya Pili Yatolewa Chamwino

    May 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.