Mheshimiwa Diwani mpya wa Kata ya Manda akisaini Kiapo chake mara baada ya kuapishwa na Mheshimiwa Hakimu. Tukio lililofanyika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino mapema wiki hii likishuhudiwa na MWenyekiti wa Halmashauri Mheshimiwa Samweli A. Kaweya, Mkurugenzi Mtendaji Wilaya pamoja na Wataalam kutoka Idara mbalimbali.
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.