Halmashauri ya wilaya ya Chamwino kwakushirikiana na Mfuko wa mafao ya jamii(PSSSF) mkoa wa Dodoma imeendesha semina kwa watumishi wanaotarajia kustaafu mwaka huu 2022 kwa lengo la kuwaandaa watumishi hao kisaikolojia.
Mafunzo hayo yamefanyika Leo Machi 17, 2022 katika ukumbi wa kilimo wilaya ya Chamwino iliyojumuisha watumishi wanaotarajia kustaafu toka idara na vitengo mbalimbali.
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.