• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Chamwino Yapongezwa Kwakupata Hati Safi

Imewekwa: July 6th, 2023

Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Staki Senyamule leo Julai 6, 2023 ameipomgeza Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kwa kupata Hati safi kwa hesabu za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambayo imeipa heshima Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino pamoja na Mkoa wa Dodoma.

Pongezi hizo amezitoa kwenye kikao maalum cha Balaza la Madiwani cha kupitia majibu ya hoja hizo kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.

"Hongereni sana Chamwino ninaamini matokeo haya yanatokana nà ushirikiano chànya uliopo kati yenu Wahe. Madiwani, watendaji wa Halmashauri, viongozi na wadau mbalimbali wa Halmashauri husika. Hivyo nawasihi endeleeni kidumisha uhusiano huo ili kuendelea kuiwezesha Halmashauri ya chamwino kuendelea kupata hati safi kwenye kaguzi zote kama ambavyo imekuwa utamaduni wenu" Alisema Mkuu wa Mkoa.

Sambamba na pongezi hizo Mkuu wa Mkoa amewataka wataalam kuhakikisha hoja zote zilizobaki kufikia Julai 30 zinapatiwa majibu.

Aidha Mhe. Senyamule pia àmeipongeza Halmashauri katika ukusanyaji wa mapato kwa kuvuka lengo. Vilevile ametumia kikao hicho kutoa maelekezo mbalimbali kwa watendaji ikiwemo suala la ukusanyaji wa mapato na utengaji wa 10% za wanawake, vijana na walemavu. Vilevile kutenga fedha 40% kwa ajili ya miradi ya maendeleo.

Vilevile amewaekekeza Wakuu wa Idara za maendeleo ya jamii na Kilimo kushirikiana kwa pa,oja kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kutunza chakula ili kuepukana na tatizo la njaa.

Kuhusu suala la mazingira ameelekeza kila kta kuhakikisha inaotesha kitalu cha miche ya miti kuanzia mwezi huu wa julai kwaajili ya kuipanda kipindi cha mvua kitakapofika.

Sambamba na hilo amemwelekeza Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya jamii kushirikiana na Afisa Afya kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kuwa na vyoo vya kudumu.

Katika kikao hicho Mkuu wa mkoa amemshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassani kwaFedha nyingi ambazo amezitoa kwenye Mkoa wa Dodoma kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambayo imeleta manufaa makubwa kwa wananchi.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Msisitizo Watolewa Mahindi Ya Bei Nafuu Yanayotolewa Na Serikali Kupelekwa Kila Kata

    May 08, 2025
  • Wananchi Chinangali II Wapokea Neema Ya Mradi Wa Milioni 261

    May 06, 2025
  • "Fanyeni Kazi Kama Vikundi Pasipo Kutegeana" Mhe. Mayanja

    April 11, 2025
  • TSC Chamwino Yawapatia Tuzo Walimu Kwa Ufaulu Mitihani Ya Kitaifa

    March 27, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.