Wajumbe wa Kamati ya lishe ya Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino wakiongozwa na Mkurugenzi Mendaji wa Halmashauri Dkt. Semistatus H. Mashimba ambaye ndiye mwenyekiti wa kamati wakiwa kwenye kikao cha Kamati hiyo cha Robo ya kwanza, Julai - Septemba.
Kikao kimefanyika leo Oktoba 30, 2023 kwenye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ambapo wajumbe wameweka mikakati mbalimbali ili kuhakikisha suala la lishe ndani ya wilaya linakuwa bora, ili kuwa na watu wenye afya bora.
Aidha imeelezwa kuwa Halmashauri imeweza kupata asilimia 98.1kwa upimaji wa ujumla kupitia kadi alama ya lishe ambayo inavigezo vya viashiria vya ufanisi katika masuala ya lishe kwa nchi nzima.
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.