Waheshimiwa Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino wakifanya Kikao Maalum cha Baraza la Madiwani kupitia Majibu ya Hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali zilizoishia 30/06/2016
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Chamwino Ndugu Athman Masasi akiwasilisha Hoja za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za serikali kwa mwaka 2015/2016.
MATOKEO YA UKAGUZI
Katika ukaguzi huo Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino imepata hati safi kwenye ukaguzi wa jumla na miradi yote ya Maendeleo kwa mwaka wa Fedha 2015/2016. Aidha, Mdhibiti na Mkaguzi wa hesabu za serikali alitoa msisitizo katika masuala yafuatayo :-
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.