TANZIA
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino anasikitika kuwatangazia kifo cha Mwalimu JOHN ELIAS KIRA wa Shule ya Sekondari Makwawa-Iringa Mvumi kilichotokea usiku wa tarehe 6/7/2019 Hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa akipatiwa matibabu. Mazishi yatafanyika Uru Kilimanjaro siku ya Jumatano tarehe 10/07/2019.
RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE, APUMZIKE KWA AMANI, AMEN
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.