TANGAZO LA MAFUNZO KWA WATUMISHI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino Ndugu A.H. Masasi anawatangazia watumishi wote wa makao Makuu ya Halmashauri kuhudhuria bila kukosa mafunzo ya siku mbili yatakayofanyika kuanzia kesho tarehe
27-28 Septemba, 2019 saa 2 Asubuhi
kwenye Ofisi za Mkurugenzi Buigiri, upatapo taarifa hii mjulishe na mwingine.
Limetolewa na: Idara ya Utumishi na Utawala
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.