• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

UZINDUZI WA HUDUMA YA HOSPITALI KIMBIZI

Imewekwa: May 15th, 2017

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Mhe.Selemani Jafo amemtaka Mkurugenzi wa Wilaya ya Chamwino kuhakikisha kuwa Mradi wa maji wa kijiji cha Manzase unamalizikaifikapo mwishoni mwa mwezi mei. 

Mhe.Jafo ameyasema hayo alipokuwa anafanya ziara yake katika hospitali ya Mvumi ambapo amezindua huduma ya Hospitali Kimbizi inayohudumiwa na Madaktari Bingwa ambao watatoa huduma ya kitabibu ndani ya siku tano kuanzia leo, tarehe 15 hadi Mei 19, 2017. Madaktari hao bingwa watatibu magonjwa ya ndani kwa watu wote, watoto, mifupa, masikio, pua na koo, meno, upasuaji na magonjwa ya uzazi kwa upande wa akinamama.

Mhe.Jafo amesema katika sehemu mbalimbali alizopita kumekuwa na changamoto ya kukosa huduma bora katika vituo vya Afya kutokana na urasimu walionao Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa na kufanya Wananchi wengi wasio na uwezo wa kupata huduma hizo katika kipindi cha nyuma na kwa kipindi  hiki Serikali imeshatoa ufumbuzi ambao Viongozi mnapaswa kuzitumia vyema pesa za Miradi ya Afya kama Busket Fund katika kuboresha huduma za Afya kwa Wananchi wote.

Aidha, Mhe.Jafo amewataka Wananchi kushiriki kikamilifu katika kupata huduma hizo kutoka kwa Madaktari bingwa waliotoka katika hospitali mbalimbali nchini kwani huduma hizo zinapatikana kwa bei nafuu na kutoka kwa Madaktari bingwa wenye uzoefu mkubwa na wa muda mrefu .

amepongeza ushirikiano uliopo wa Mganga Mkuu wa Dodoma, Mbunge wa Jimbo la Mtera, Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, wadau mbalimbali  pamoja na Kanisa la Anglikana kwa kuweza kuendesha zoezi hilo la huduma.

Akihitimisha hotuba yake iliyojaa maelekezo ya Serikali, Mhe. Jafo amesema baada ya zoezi hili kukamilika ingependeza madaktari bingwa wote walioshiriki zoezi hili katika Wilaya zote za Dodoma waje kujipongeza mjini Dodoma na kuwa mfano bora wa kuigwa kwa kuwa zoezi hili ni zoezi la kwanza kufanyika nchini na likiwa limefanyika mkoani Dodoma.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Msisitizo Watolewa Mahindi Ya Bei Nafuu Yanayotolewa Na Serikali Kupelekwa Kila Kata

    May 08, 2025
  • Wananchi Chinangali II Wapokea Neema Ya Mradi Wa Milioni 261

    May 06, 2025
  • "Fanyeni Kazi Kama Vikundi Pasipo Kutegeana" Mhe. Mayanja

    April 11, 2025
  • TSC Chamwino Yawapatia Tuzo Walimu Kwa Ufaulu Mitihani Ya Kitaifa

    March 27, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.