• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Ujenzi Wa Shule Za Sekondari Za Wasichana Kuongeza Wataalam Wanawake

Imewekwa: November 25th, 2023

Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Zainabu Shomari (MNEC) amesema kuwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imekuwa na juhudi za kujenga na kuboresha miundombinu ya Shule mpya za Mkoa za wasichana ili kuandaa mazingira mazuri ya kujifunzia na kuongeza idadi kubwa ya  wataalamu wa jinsia ya kike wa Kada mbalimbali nchini na kuleta usawa wa kijinsia .

Hayo yamesemwa Leo Novemba  25, 2023 wakati alipofanya ukaguzi wa  ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Mkoa wa Dodoma unaogharimu kiasi cha shilingi Billioni 3 iliyopo Kata ya Manchali Wilayani  Chamwino Mkoa wa Dodoma.

“Rais Samia ameleta fedha nyingi kwa ajili ya kutekeleza miradi hii, uwepo wa mradi huu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Mkoa wa Dodoma utaongeza idadi na ari ya wanafunzi wa kike kupata elimu bora.” Ameeleza Ndg. Shomari  

Akiwa katika Shule ya Sekondari ya  Chilonwa, amewahimiza wanafunzi kuzingatia maadili kwa kuwaheshimu walimu na kusoma kwa bidii kwani wao ndio tegemeo la Taifa la kesho .

Kwa Upande Wake, Mkurungezi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Chamwino Dkt. Semistatus Mashimba akijibu kero za wananchi  kuhusu  kujengewa kituo cha afya Chalinze na kuongezewa  madarasa katika Shule ya Msingi Chiburunge, amesema kwa kushirikiana na Mbunge tayari wamesha anza utekelezaji wa Ujenzi wa Miundombinu hiyo.

Ziara ya  UWT Taifa sasa imefika katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino na imefanya Mikutano ya hadhara takribaini ishirini huku Makamu Mwenyekiti UWT na timu yake ikikagua ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa, Zahanati ya Manchali na ujenzi wa Mabweni matatu, Vyumba nane vya madarasa na matundu 13 ya vyoo vya wanafunzi katika Shule ya Sekondari ya Chilonwa sambamba na kugawa kadi za Wanachama wapya 100 wa Chama cha Mapinduzi (CCM)

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Wananchi Chinangali II Wapokea Neema Ya Mradi Wa Milioni 261

    May 06, 2025
  • "Fanyeni Kazi Kama Vikundi Pasipo Kutegeana" Mhe. Mayanja

    April 11, 2025
  • TSC Chamwino Yawapatia Tuzo Walimu Kwa Ufaulu Mitihani Ya Kitaifa

    March 27, 2025
  • Wakuu Wa Shule Wapatiwa Mafunzo Ya Mfumo Wa NeST

    March 21, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.