• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC DODOMA: TUNAONGOZA KITAIFA CHF LAKINI SIFURAHISHWI KABISA

Imewekwa: July 6th, 2019
  • Viongozi Ngazi Zote Kushiriki Kuelimisha na Kuhamasisha Wananchi Wajiunge
  • Asisitiza Lengo Liwe Kuandikisha 100%

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith S. Mahenge ameeleza kutokuridhishwa na idadi ya wakazi wa mkoa wa Dodoma waliojiunga kwenye Mfuko wa Afya ya Jamii CHF iliyoboreshwa. Mkuu wa Mkoa amesema hayo leo tarehe 6/7/2019 kwenye uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha wananchi kujiunga na bima ya afya ya CHF iliyoboreshwa ili waweze kupata matibabu kwa gharama nafuu ya shilingi 30,000 kwa mwaka mzima kwa kaya yenye watu sita, uzinduzi huo ulifanyika katika kijiji cha Nzali kata ya Chilonwa wilayani Chamwino.

"Hii asilimia 3% ya waliojiandikisha ni ndogo sana kwani ni sawa na wanachama 17,000  kati ya 460,000 wanaopaswa kuandikishwa  mkoa wa Dodoma. Serikali ya awamu ya tano imewekeza sana katika sekta ya afya kuanzia miundombinu na dawa. Mfano hapa Dodoma zaidi ya vituo 22 vimejengwa,  hospitali ya wilaya ya Chamwino na Hospitali kubwa ya Uhuru inayojengwa hapa papa Chamwino. Juhudi za Mheshimiwa Rais itakuwa bure kama wananchi hawatakuwa na bima, mara nyingi ni vigumu kumudu gharama za kulipia hapo hapo pindi wanapougua" Alisema Dkt. Mahenge

Aidha Mkuu wa Mkoa amewaagiza Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi  mkoani Dodoma kuhakikisha wanaweka mkakati utakaowashirikisha viongozi wa ngazi zote za serikali ili kuwaelimisha na kuwahamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii ya CHF. Dkt. Mahenge amekabidhi kadi za CHF kwa wanachama 22 waliojiunga kwenye uzinduzi huo na amewashukuru wadau wakuu wa HPSS kwa ufadhili wanaoutoa katika shughuli za uendeshaji na uhamasishaji wa wananchi katika kujiandikisha na bima hiyo.

Nae Mbunge wa Chilonwa Mheshimiwa Joel Mwaka amemhakikishia Mkuu wa Mkoa kuwa yeye na wabunge wenzake wa Mkoa wa Dodoma watashiriki vyema kuhakikisha kampeni hii inafanikiwa.


Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Msisitizo Watolewa Mahindi Ya Bei Nafuu Yanayotolewa Na Serikali Kupelekwa Kila Kata

    May 08, 2025
  • Wananchi Chinangali II Wapokea Neema Ya Mradi Wa Milioni 261

    May 06, 2025
  • "Fanyeni Kazi Kama Vikundi Pasipo Kutegeana" Mhe. Mayanja

    April 11, 2025
  • TSC Chamwino Yawapatia Tuzo Walimu Kwa Ufaulu Mitihani Ya Kitaifa

    March 27, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.