• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Antony Mtaka azindua Tamasha la 12 la muziki wa Cigogo

Imewekwa: July 24th, 2021

Mkuu wa mkoa wa Dodoma leo tarehe 24.07.2021 amezindua Tamasha kubwa la nyimbo za cigogo lililofanyika katika kijiji cha chamwino Ikulu.. katika hotuba yake Mh Mkuu wa mkoa amemtaka muasisi wa Tamasha la nyimbo za Cigogo festival Dr Kedmon Mapana kulifanya tamasha hilo kuwa la kibiashara zaidi..

Akiongea katika ufunguzi huo Mh Mtaka amesisitiza kuwa Tamasha hilo lina  fursa nyingi za kiuchumi zinazopatikana katika Tamasha hilo.

Ametaja baadhi ya fursa za tamasha hilo kwenye jamii ni kutoa elimu ya afya, kilimo na kujikinga na magonjwa mbalimbali kupitia sanaa na uimbaji.

wakati huo huo, Mkuu wa wilaya ya Chamwino Mh Gift Msuya ametumia nafasi hiyo kujitambulisha na pia kuwafahamisha wananchi wote kuwa ataanza ziara katika kata na vijiji vyote vya wilaya ya chamwino.

Tamasha hilo  limehudhuriwa na viongozi mbalimbali ikiwemo kamati ya usalama ya wilaya Makamo Mwenyekiti wa halmashauri, mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya chamwino, Mh Diwani wa kata ya chamwino Ikulu na ma maafisa mbalimbali kutoka Wizara ya utamaduni , sanaa na michezo.

 Mh Mkuu wa mkoa ameendelea kusisitiza kuwa kila mwananchi azidi kuchukua tahadhari za kujikinga na ugonjwa wa UVIKO-19 Kwa kufuata maelekezo ya  wataalam wa afya.

#ChamwinoKaziiendelee#

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Mchengerwa Awataka Maafisa Habari Kuhakikisha Wananchi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • Miche 350 Ya Matunda Yapandwa Kuadhimisha Kampeni Ya "Mti Wangu Birthday Yangu"

    May 22, 2025
  • Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Ashiriki Zoezi La Kuboresha Taarifa Kwenye Daftari La Kudumu La Wapiga Kura

    May 17, 2025
  • Mafunzo Ya Uboreshaji Wa Daftari La Wapiga Kura Awamu Ya Pili Yatolewa Chamwino

    May 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.