• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mkuu wa Mkoa Atoa Maelekezo kwa viongozi na Watumishi Chamwino

Imewekwa: November 11th, 2022

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Staki Senyamule ametoa maelekezo mbalimbali kwa watendaji wa Serikali ikiwemo suala la Elimu ambapo alisema bado ufaulu wa mkoa upo chini, upungufu wa miundo mbinu, utoro, mimba mashuleni na wanafunzi kuolewa wakiwa  bado mashuleni. 

Maelekezo hayo ameyatoa alipofanya ziara ya kikazi Wilayani Chamwino Novemba 10, 2022 iliyokuwa na lengo la kuzungumza na viongozi hao na watumishi pamoja na kukagua miradi ya maendeleo.

Aliwataka wadau wote wa elimu wafanye vikao kuanzia ngazi ya kata hadi wilaya na kufanya tathimini  kuhusu elimu kwenye maeneo yao.  Aliwataka viongozi kuongea na wananchi kuhusu kuunga mkono ujenzi wa miundombinu ya shule  kwani Serikali imeshafanya sehemu kubwa.


Kuhusu kilimo mkuu wa mkoa ameelekeza kipewe kipaumbele na kukiwekea mikakati mizuri kwani 72% ya wananchi ni wa kulima. Alisema Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa kwenye kilimo, alitolea mfano pikipiki zilizotolewa kwa maafisa ugani nchi nzima pamoja na miradi mingine ikiwemo ya umwagiliaji na hivyo wanamshukuru sana. Alisisitiza maafisa ugani wasimamiwe.

Vilevile Mkuu wa Mkoa alisisitiza kuhusu suala la uwajibikaji kwa watumishi wa umma ili kuleta matokeo yenye tija kwani Serikali imewekeza fedha nyingi kwenye mishahara ya watumishi.

"Watumishi Serikali inatuthamini sana na ndio maana inatulipa mishahara. Fedha nyingi imewekwa kwenye mishahara, hivyo ni lazima tuwajibike kwani Serikali inatutegemea tulete tija."

Kuhusu utawala bora alielekeza vikao vyote vya kisheria vya kijij na kata viwe vinafanyika na agenda ziwe zinazotakiwa. Kusimamia maadili ya watumishi. Taarifa za miradi zitolewe kwa wananchi. Kusikiliza kero za wananchi ikiwa ni pamoja na kuweka mazingira mazuri ya kupokea kero hizo. 

Mkuu wa mkoa pia alitembelea mradi wa shamba la zabibu Chinangali wenye hekari 6000 ambao unatarajiwa kuanza upandaji hivi karibuni.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Msisitizo Watolewa Mahindi Ya Bei Nafuu Yanayotolewa Na Serikali Kupelekwa Kila Kata

    May 08, 2025
  • Wananchi Chinangali II Wapokea Neema Ya Mradi Wa Milioni 261

    May 06, 2025
  • "Fanyeni Kazi Kama Vikundi Pasipo Kutegeana" Mhe. Mayanja

    April 11, 2025
  • TSC Chamwino Yawapatia Tuzo Walimu Kwa Ufaulu Mitihani Ya Kitaifa

    March 27, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.