Swahili
  • English
  • Swahili
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mkuu wa Mkoa Ashauri Kujengwa kwa Hosteli Viwanja vya Nanenane Nzuguni

Imewekwa: August 9th, 2022


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Rosemary Senyamule ameongeza muda wa siku mbili wa maonyesho ya wakulima  88 hadi Agosti10Mwaka huu ili kuongeza tija ya kilimo4 katika suala zima la kutoa Elimu kwa wakulima na 


Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ameshauri  kujengwa kwa Hosteli za wakulima katika Viwanja vya nanenane vilivyopo Nzuguni mkoani Dodoma ili wakulima wawe wanapata muda wakupata Elimu kuhusu kanuni za kilimo bora wakati ambapo maonyesho yatakuwa yameisha ili Kila Mwezi wakulima Kila Halmashauri waende kujifunza.


Hata hivyo ametoa Wito kwa Kila Halmashauri kupelekea idadi ya wakulima kufika katika maonyesho ya nanenane kupata maarifa na kujifunza masuala mapya yaliyopo katika sekta ya kilimo.


Kwa Upande wake Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba amesema kuwa uzalishaji wa mazao  agenda ya 10/30 mkoa umejipanga kuzalisha tani 600,000za Alizeti ili kuondokana na uhaba wa mafuta ya kula na kuongeza tija ya mazao.


Aidha Serukamba ameomba Maonyesho ya nanenane Kanda ya Kati yawe kwenye ramani ya Dunia ili kupanua wigo katika Nchi mbalimbali kushiriki ili Kampuni kubwa zenye teknolojia kutoa fursa ya kutoa Elimu kwa wananchi.


Naye Kaimu  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Mhina ametoa Wito kwa akulima na wafugaji kuhakikisha wanatumia Elimu walizopewa ili kuongeza uzalishaji wenye tija.


Pia amewataka wafugaji kutunza malisho na kutunza vyanzo vya Maji ili Mifugo iweze kupata Maji hata wakati wa kiangazi.


Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma Pilly Mbaga ameuomba Uongozi wa Mkoa wa Dodoma kuyatumia Makampuni yanayojihusisha na kilimo kutoa Elimu kwa wakulima Kila Wilaya ili wajifunze na kutaka Makampuni hayo kushusha gaharama za Mbegu kutokana na wakulima wengi kushindwa kumudu gharama hizo.



Maonyesho hayo yameshirikisha wakulima mbalimbali toka katika Wilaya   za Mikoa ya Singida na Dodoma.




Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Msisitizo Watolewa Mahindi Ya Bei Nafuu Yanayotolewa Na Serikali Kupelekwa Kila Kata

    May 08, 2025
  • Wananchi Chinangali II Wapokea Neema Ya Mradi Wa Milioni 261

    May 06, 2025
  • "Fanyeni Kazi Kama Vikundi Pasipo Kutegeana" Mhe. Mayanja

    April 11, 2025
  • TSC Chamwino Yawapatia Tuzo Walimu Kwa Ufaulu Mitihani Ya Kitaifa

    March 27, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.