Jumla ya miradi 6 yenye thamani ya Tsh. 3,131,091,240/= imepitiwa na Mwenge wa Uhuru Wilayani Chamwino, ambapo Halmashauri ya Wilaya Chamwino imechangia Tsh. 794,000/= , Wahisani Tsh. 169,007,740/= , Serikali Kuu Tsh. 428,500,000/= , Wananchi Tsh. 23,989,500/= na Sekta Binafsi Tsh. 2,508,800,000/=
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.