• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Akagua Miradi Chamwino

Imewekwa: May 19th, 2023

Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Ally Gugu amewataka viongozi Wilayani Chamwino kutekeleza miradi kwa wakati na na kwa kuzingatia viwango vilivyowekwa kwenye miradi hiyo.

Kauli hiyo ilitolewa wakati wa ziara ya kukagua baadhi ya miradi inayotekelezwa katika Halmasahauri ya Wilaya ya Chamwino, tarehe Mei 05, 2023, na alipata nafasi kuzungumza na watumishi wa wilaya hiyo kwa lengo la kuweka mikakati bora ya utendaji kazi ili kufikia malengo ya maendeleo kwa uharaka.

“Tumebaini baadhi ya maeneo ambayo yamefanyika vizuri lakini yapo maeneo ambayo yanahitaji kuimarishwa. lakini angalizo kwenye maeneo yaliyobaki ya ujenzi basi tuzingatie yafanyike kwa umahiri zaidi lakini jengoi lizingatie viwango vya juu vya kupendeza.” Alisema Gugu.

Aidha Gugu ameipongeza Halmashauri kwa juhudi  za utekelezaji wa miradi mbalimbali kupitia mapato ya ndani ikiwemo Zahanati ya Kijiji cha Wilunze ambapo ujenzi umefikia hatua ya umaliziaji.

“Kutokana na mapato ya ndani wenzetu wa Halmashauri waliweza kutenga fedha ambazo zimewezesha kuwa na jengo ambalo tayari tumejiridhisha liko kwenye hatua nzuri sana, na hivyo wahakikishe kazi inayoendelea isimamiwe ipasavyo hata umaliziaji wa jengo hili uweze kufanyika vizuri,”

Aidha Katibu Tawala Mkoa  alieleza kuwa mradi huu wa zahanati ulikuwa katika miradi ambayo ya mwaka wa fedha 2021/2022 kwa hiyo tumeona upo nyuma na hivyo tulikubaliana tuhakikishe mradi huo unaanza kutoa huduma kabla ya mwaka huu wa fedha kuisha yaani tarehe 30, juni 2023.

Hata hivyo Gugu amesisitiza miradi inayotekelezwa kwa fedha za boost inapaswa kukamilishwa kwa wakati ifikapo juni 30, mwaka huu.

Katika ziara hiyo Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma alikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, Zahanati ya Kijiji cha Wilunze ambavyo ujenzi wake unaendele na Mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya maabara ya baiolojioa na kemia katika shule ya sekondari msanga ambapo mradi upo hatua ya umaliziaji.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Msisitizo Watolewa Mahindi Ya Bei Nafuu Yanayotolewa Na Serikali Kupelekwa Kila Kata

    May 08, 2025
  • Wananchi Chinangali II Wapokea Neema Ya Mradi Wa Milioni 261

    May 06, 2025
  • "Fanyeni Kazi Kama Vikundi Pasipo Kutegeana" Mhe. Mayanja

    April 11, 2025
  • TSC Chamwino Yawapatia Tuzo Walimu Kwa Ufaulu Mitihani Ya Kitaifa

    March 27, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.