• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Dodoma Yang'ara Ripoti Ya Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali

Imewekwa: June 20th, 2024

Mkoa wa Dodoma umefanikiwa kupata hati safi katika ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa hesabu zilizoishia Juni 30,2023.

Akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani Juni 19, 2024  Wilayani Chamwino Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amezipongeza Halmashauri zote za Mkoa huo kwa juhudi zake katika kupunguza hoja za Mkaguzi na kupata hati safi.

" Sasa hivi Mkoa wa Dodoma wote umepata hati safi, tunategemea sasa ni mwendo wa hati safi kwa Halmashauri zote. kazi yetu kubwa ni kuendelea kupunguza zile hoja ndogo ndogo za Mkaguzi ili nazo ikiwezekana kama siyo kuzimaliza basi zipungue kwa kiwango kikubwa" Ameeleza Mhe. Senyamule.

Kwa upande Wake Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Janeth Mayanja amewasihi Menejimenti ya Wilaya kumtumia vizuri mkaguzi wa ndani kila anapotoa taarifa za kila  robo ya Mwaka wa fedha ili kupunguza hoja kwa Mkaguzi Mkuu.

Kadhalika Mhe.Senyamule, Katibu Tawala Mkoa Bw.Kaspar Mmuya kwakuambatana na Uongozi wa Wilaya hiyo kutekeleza kauli mbiu ya " kero yako wajibu wangu" wamesikiliza na kutatua kero za wananchi wa Kijiji cha Msanga kilichopo Wilayani humo.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Katibu Tawala Chamwino Ahimiza NGO'S Kutoa Taarifa Za Utekelezaji Wa Shughuli Zao

    June 20, 2025
  • Mwenyekiti Halmashauri Chamwino Awashukuru Waheshimiwa Madiwani Na Wakuu Wa Idara

    June 18, 2025
  • Chamwino Yapongezwa Kupata Hati Safi Kwa Hesabu Za Mwaka 2023/2024

    June 16, 2025
  • Mheshimiwa Mayanja Aongoza Zoezi La kuteketeza Ekari Mbili Za Bangi Membe

    June 15, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.