• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DAS Chamwino Ahamishia Kikao Hospitalini Kuhakiki Dawa na Vifaa Tiba

Imewekwa: July 24th, 2019

Asema Wananchi Wajiunge na CHF Hospitali Dawa Zipo za Kutosha

Kauli hiyo imetolewa  Julai 24, 2019 na Katibu Tawala wa Wilaya ya Chamwino Bi. Juliana Kilasara alipokuwa kwenye ziara ya uhamasishaji wa wananchi kujiunga na CHF iliyoboreshwa katika kata ya Mvumi Mission.

Bi. Kilasara amezungumza na viongozi na watendaji  wa kata na kuwataka kuwahamasisha wananchi kujiunga na CHF.

Katika kikao hicho Mwenyekiti wa Kijiji cha Chihembe Bwana Yoram Matonya alieleza hofu ya wananchi ya kutopata dawa na huduma nzuri wanapoenda kutibiwa wakiwa na kadi za CHF.

Hali hii ilimlazimu Katibu Tawala kuhamishia kikao katika Hospitali Teule ya Wilaya iliyopo kwenye kata ya hiyo ili  kujiridhisha na kiwango cha dawa kilichopo.

Akiwa hospitalini hapo Katibu Tawala huyo ametembelea chumba cha kuhifadhia dawa na maeneo mengine ya kutolea huduma ili kujiridhisha.

Nae Mganga Mkuu Dkt. Asteria Mpoto ameeleza kuwa Serikali inapeleka dawa na vifaa tiba kwa vituo vyote vya matibabu na katika Wilaya ya Chamwino hali ya utoaji wa huduma za afya umeimarika.

"Nimejionea hali halisi, nendeni muwaeleze wananchi wajiandikishe CHF dawa na vifaa tiba vipo vya kutosha" alimalizia Katibu Tawala.

Bwana Abel Angelbert Mfamasia wa Wilaya (kushoto) akitoa maelezo ya hali ya dawa kwenye Hospitali Teule ya Mvumi

Mratibu wa CHF Wilaya ya Chamwino Bw. Dennis Vagela akizungumza na viongozi wa kata na vijiji, watendaji, wataalam na wadau wa afya kata ya Mvumi Mission kabla ya kwenda Hospitali ya Wilaya

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Msisitizo Watolewa Mahindi Ya Bei Nafuu Yanayotolewa Na Serikali Kupelekwa Kila Kata

    May 08, 2025
  • Wananchi Chinangali II Wapokea Neema Ya Mradi Wa Milioni 261

    May 06, 2025
  • "Fanyeni Kazi Kama Vikundi Pasipo Kutegeana" Mhe. Mayanja

    April 11, 2025
  • TSC Chamwino Yawapatia Tuzo Walimu Kwa Ufaulu Mitihani Ya Kitaifa

    March 27, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.