• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

CHAMWINO DC YASHINDWA KUNG'AA UGENINI

Imewekwa: November 28th, 2020

Na Brian Machange- Babati Manyara


Timu ya michezo ya Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino yashindwa kung’aa katika bonanza la watumishi liliandaliwa kwa ushirikiano wa wadau wa michezo wa Halmashauri ya Mji Babati na Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino.

Katika Bonanza hilo lilifanyika mapema leo tarehe 28 Novemba 2020, wanamichezo wa Timu ya Mji Babati wameibuka kidedea katika michezo yote iliyofanyika katika viwanja vya Kwaraa mjini Babati Mkoani Manyara, ambapo katika mchezo wa kwanza wa mpira wa miguu timu ya Babati TC iliibuka kidedea dhidi ya timu ya Chamwino DC kwa magoli 3-1.

Netball kwa wanawake walishindwa kufua dafu mbele ya wapinzani wao timu ya Babati TC kwa kufungwa magoli 13-4

Kwa upande wa mchezo wa kuvuta Kamba Babati TC iliibuka tena kidedea kwa pande zote mbili yaani wanawake na wanaume kwa kuzishinda timu za wanawake na wanaume wa Chamwino DC iliionekana kuelemewa vibaya licha ya kuonekana watu waliokuwa na misuli yakutosha kuzikabili timu za wanawake na wanaume wa Babati TC.

Hata hivyo Chamwino DC iliibuka kidedea wa mchezo wa kukimbiza kuku kwa upande wa wanaume na kufanya angalau Chamwino kutoondoka mikono mitupu uwanjani.

 Awali akifungua Bonanza hilo Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Jacob Twange amesema kuwa lengo la kufanya bonanza hili ni kudumisha urafiki baina ya watumishi wa Halmashauri ya Babati Mji na Halmashauri ya Chamwino hivyo amewataka washiriki wote wa michezo kuzingatia kanuni na sheria za michezo husika, kwani michezo ni burudani na sio uadui hivyo wawe tayari kwa matokeo yoyote.

Matangazo

  • RATIBA YA MAFUNZO YA MFUMO WA MADENI,MIS June 26, 2020
  • TANGAZO HUDUMA ZA UPASUAJI KITUO CHA AFYA CHAMWINO July 09, 2020
  • TANGAZO KUANZA KWA HUDUMA ZA UPASUAJI KITUO CHA AFYA MPWAYUNGU July 10, 2020
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021- CHAMWINO December 19, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA IKOMBO, WILAYANI CHAMWINO

    January 27, 2021
  • AWESO: Sitaongeza muda Mradi wa ujenzi tangi la Maji Buigiri

    January 21, 2021
  • UVCCM UDOM Waenzi Mapinduzi ya Zanzibar kwa kujitolea Damu Hospitali ya Uhuru

    January 12, 2021
  • Chamwino yaadhimisha Mapinduzi ya Zanzibar kwa kupanda Miti

    January 12, 2021
  • Angalia Zote

Video

JITIADA ZA RC DOM DKT. MAHENGE KUWAINUA VIJANA KIUCHUMI KUPITIA KILIMO,
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.