TARATIBU ZA KUPATA BIMA YA JAMII
Mtu yeyote mkazi wa Chamwino anahaki ya kupata Kadi.
1. Atatakiwa kuonyesha hitaji la kadi hiyo afike Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji wa Eneo Analoishi akiwa na wategemezi wake wa tano.
2. Atapewa fomu ya Kujaza, Fomu hiyo inavitu vifuatavyo:-
i. Maelezo kamili ya Muombaji
ii. Maelezo ya Usajili
iii. Uthibitisho wa Msajili.
3. Baada ya kupata fomu na kujaza, Muhusika atatakiwa kulipa malipo ya Tsh 10,000 kwa afisa Mwandikishaji..
4. Muhusika atatakiwa kupiga picha hapo hapo kwa Afisa Mwandikishaji
6. Atapewa Kitambulisho.
NB: Kadi hii ya TIKA huitajika kuhuishwa kila mwaka. Malipo hayo ya Tsh 10,000/= hutumika kwa mwaka mmoja
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: info@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.