• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kuduma
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Kulipa Ushuru wa Huduma

UTARATIBU WA KULIPA USHURU WA HUDUMA (SERVICE LEVY)

Halmashauri ya wilaya ya Chamwino imepewa mamlaka ya kukusanya ushuru ya Huduma kwa mujibu wa sheria ya fedha ya serikali za Mitaa Namba 9 ya mwaka 1982 na sheria ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino (Ushuru wa huduma) ya mwaka 2004.

Kodi ya huduma inalipwa na kampuni, Shirika au biashara yoyote iliyosajiliwa ndani ya Halmashauri kwa kiwango cha asilimia sifuri nukta tatu (0.3%) ya mauzo kabla ya ongezeko la thamani.

Kwa lengo la kujiridhisha na mauzo Mkurugenzi Mtendaji anaweza kumuamuru Mlipa ushuru kwa maandishi kuwasilisha nyaraka zake za mauzo za muda husika ndani ya siku 30 baada tamko hilo kutolewa.

Mfumo wa ulipaji wa kodi ni kila baada ya mwezi au miezi mitatu kupita. Malipo hayo yafanyike kabla ya Tarehe 15 ya mwezi unaofuata mara baada ya mwezi au miezi mitatu kupita kulingana na mfumo uliochagua wewe mwenyewe.

Matangazo

  • Matokeo ya Usaili wa Kuandika April 23, 2018
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili April 19, 2018
  • Practice for Employees March 23, 2017
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Waziri Jafo Ahimiza Ukamilisha wa Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino.

    February 10, 2018
  • Waziri. Jafo Awaonya watakao Haribu Miundombinu ya Maji Kijiji cha Itiso

    February 14, 2018
  • Mafunzo ya Mfumo wa Uhasibu Ngazi ya Vituo vya Kutolea Huduma kwa Zahanati na Vituo Afya

    October 24, 2017
  • Wananchi wa Dabalo Kunufaika na Kiwanda.

    August 11, 2017
  • Angalia Zote

Video

Maagizo ya Rc. Mahenge kwa TARURA
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi
  • Tovuti ya Ajira

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: info@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.