Thursday 25th, April 2024
@Nchi nzima
Wanafunzi wa Darasa la Saba mwaka 2017 kufanya mitihani yao ya mwisho kuhitimu elimu ya Msingi kuanzia tarehe 6 Septemba na kumalizika tarehe 7 Septemba 2017.
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino inawatakia wanafunzi wote mitihanani mema.
Aidha, watu wote wasio husika na shughuli za mitihani hiyo hawaruhusiwi kupita maeneo ya shule ili kuwapa utulivu wanafunzi kipindi cha mtihani.
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.