KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino Ndugu Athumani H. Masasi, anautaarifu umma hususani wa Wilaya ya Chamwino kuwa tarehe 29-30/08/2019 kutakuwa na Kikao cha Baraza la Madiwani kitakachofanyika kwenye Ukumbi wa Kijiji cha Chamwino Ikulu kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Kikao hiki ni cha wazi kwa umma, wananchi wote mnakaribishwa.
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Sanduku la posta: 1126 Dodoma
Simu ya Mezani: 026 296 1511
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz
Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.